chrisbleez
JF-Expert Member
- Dec 28, 2016
- 765
- 1,262
Nikajua hata mtu kang'atwa!
Angalia ulivyoset sahivi ukariri muda mwengine uwe unaangalia notification simu hukujulisha tatizo unajikuta unahaingaika Hadi simu inatamani kukucheka..😜[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] punguza stress mkuu maisha yenyewe mafupi nipe maujanja
Kwanini usitume ufo basic vpn?
Yenyewe ni simple sana.
Nah yenyewe ni android.Kwenye i phone [emoji336] fresh?
Angalia ulivyoset sahivi ukariri muda mwengine uwe unaangalia notification simu hukujulisha tatizo unajikuta unahaingaika Hadi simu inatamani kukucheka..[emoji12]
Nah yenyewe ni android.
iOS sidhani.
Na bado chichiem itatunyoosha mpk tutajua tusiyoyajua..😜Mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka kifala sana ni kweli nilikuwa naingia setting mara kwa mara lengo ni kuangalia hizo notifications kama zipo lkn wapi mpk nimebahatisha tena[emoji3][emoji3]
Ukiona inazingua una disconnect then unahama nchi. Mfano majuzi marekani ilikuwa inazingua nikaenda zangu frankfurt ujerumani [emoji28]
pambana na hali yako, na endelea na izo show off za macho matatuWakuu msaada wakupata vpn kwa kiji iPhone changu
Hizi simu ni kwa ajili ya sow off tupambana na hali yako, na endelea na izo show off za macho matatu