ungefunguka kidogo ukaonyesha na picha za shamba tukajua huenda dawa unayotumia haifai kwa wadudu hao wanaoshambulia shamba. matikiti ni mtihani mkubwa sana hasa kwenye dawa maana growth rate yake ni kubwa hivyo kuathirika kwake ni haraka sana. mimi nilichelewa kutibu utitiri kwa muda wa wiki moja tu nikapata zero shamba la acre moja na nusu. mpaka nikayumba kidogo financially so jaribu kuwa makini ikiwezekana nenda na bwana shamba akakushauri vizuri. kwa onsite inspection atakushauri vizuri.