mkuu, ki ukweli kutengeneza hardisk iliyoharibika ni udanganyifu tu...harddisk kwa kawaida ni ngumu sana ku repair hardware yake kwa jinsi ilivyotengenezwa, watu wanadai wanatengeneza lakini hamna kitu..ni ubabaishaji tu na mara nyingi wanatumia trial and error ambayo hata mtu wa kawaida anaweza kufanya na kufanukiwa kwake huwa ni bahati tu ila mara nyingi huwa ikifa ndo basi na chanzo kikubwa ndo kama hivyo kuangusha...Njia kubwa ya trial and error wanayotumia ni kujaribu kui plug in na kutoa kwenye pc mara nyingi mpaka itakapokubali au kujaribu kuigongagonga kama kuishtua mpaka inakubali (ingawa huwa ni kwa muda tu na suluhisho ni kununua mpya)..so kuipeleka kwa fundi ni kupoteza tu hela utaishiwa kuliwa na pengine hata hizo data usizipate...sikukatishi tamaa ila ukweli ndo huo!!