kesho kutwa JF-Expert Member Joined Dec 7, 2016 Posts 1,722 Reaction score 1,993 Jul 18, 2023 #1 Kwa aliefanikisha tatizo la failed to register user network era shida ni nini?
V vctor123 JF-Expert Member Joined Apr 10, 2014 Posts 243 Reaction score 179 Jul 18, 2023 #2 Tumia link hii eRITA Portal https://erita.rita.go.tz eRITA Portal
kesho kutwa JF-Expert Member Joined Dec 7, 2016 Posts 1,722 Reaction score 1,993 Jul 18, 2023 Thread starter #3 vctor123 said: Tumia link hii eRITA Portal https://erita.rita.go.tz eRITA Portal Click to expand... Mbona hii hainoneshi sehem ya kuhakikisha ukishaingia in?
vctor123 said: Tumia link hii eRITA Portal https://erita.rita.go.tz eRITA Portal Click to expand... Mbona hii hainoneshi sehem ya kuhakikisha ukishaingia in?
digba sowey JF-Expert Member Joined Mar 1, 2017 Posts 10,405 Reaction score 22,962 Jul 18, 2023 #4 kesho kutwa said: Mbona hii hainoneshi sehem ya kuhakikisha ukishaingia in? Click to expand... Soma kwa umakini utaona, mwanzo na Mimi nilihangaika sna lakini baada ya kutumia hiyo link nilifanikiwa
kesho kutwa said: Mbona hii hainoneshi sehem ya kuhakikisha ukishaingia in? Click to expand... Soma kwa umakini utaona, mwanzo na Mimi nilihangaika sna lakini baada ya kutumia hiyo link nilifanikiwa
kesho kutwa JF-Expert Member Joined Dec 7, 2016 Posts 1,722 Reaction score 1,993 Jul 18, 2023 Thread starter #5 digba sowey said: Soma kwa umakini utaona, mwanzo na Mimi nilihangaika sna lakini baada ya kutumia hiyo link nilifanikiwa Click to expand... Nielekeze mjomba turahisishe mambo mambo mengi mno
digba sowey said: Soma kwa umakini utaona, mwanzo na Mimi nilihangaika sna lakini baada ya kutumia hiyo link nilifanikiwa Click to expand... Nielekeze mjomba turahisishe mambo mambo mengi mno
Gabriel mtui Member Joined Oct 6, 2018 Posts 10 Reaction score 9 Jul 21, 2023 #6 kesho kutwa said: Nielekeze mjomba turahisishe mambo mambo mengi mno Click to expand... E rita portal ingia fanya registration endelea na maombi
kesho kutwa said: Nielekeze mjomba turahisishe mambo mambo mengi mno Click to expand... E rita portal ingia fanya registration endelea na maombi