Labda anajipanga na sehemu ya pili ya hadithi yake... Si unajua tena mambo ya watafitiSasa unataka msaada gani?
++
Nakuunga mkono Nadhani msaada wanaostahili ni sawa na ule tunaohitaji hata sisi ambao hatujaweka matangazo.Msaada ni kumshirikisha Mungu hitaji letu
++
swali zuri sana hili? kama yeye ni kidume ajibu toka moyoni mwakewewe umeshawahi kutoka na wanawake/wasichana wangapi wa jf mpaka uje na majumuisho yako.
Malizia kwanza na hizo methods zako.
Mkuu utafiti huu umeufanya kwa wanawake tuuuuuuuuuu. Mbona kuna wanaume wengi nao wanatafuta hayo uliyoainisha hapo juu. Au pengine nimewahi sana kuuliza maana umesema bado unaendelea na utafiti
swali zuri sana hili? kama yeye ni kidume ajibu toka moyoni mwake
ndo maana wanaume wengi hapa hawapati watu cause kuna watu wana madharaaaau ...mtu husimamishi unajifanya umetembea na mademu wote mtaani ukiulizwa nani mtaje huna jibu...
Mkuu pamoja na kumshirikisha Mungu si imeandikwa omba, bisha hodi na tafuta nafikiri kutoa tangazo ni sehemu mojawapo ambayo Mungu pengine anaweza kuitumia hebu fikiria unaomba halafu hujichanganyi maeneo yanayoweza kuleta majibu ya ombi lako si itakua kazi kufikia lengo. Hebu chukua mfano unamuomba Mungu akupe kazi halafu unafunga wee haupeleki RESUME yako mahala wala huwaambii watu hitaji lako itawezekana kweli kulifikia lengo.Binafsi ktk hili ninaona kwamba haya yote yanayotokea ni kwa sababu ya maendeleo ya science na technologia si unajua utandawazi ndugu yangu , zamani hata kuongea kwa njia hii ya JF na namna zingine ilikua hakuna lkan sasa hivi watu wanafurahi/gombana kupitia mitandao hata kama hawafahamiani kwa sura ,hivyo tukubali kua kuna mabadiliko makubwa ktk jamii. Sikupingi mkuu bali ni ktk hali ya kuchambua zaidi mada.++
Nakuunga mkono Nadhani msaada wanaostahili ni sawa na ule tunaohitaji hata sisi ambao hatujaweka matangazo.Msaada ni kumshirikisha Mungu hitaji letu
++
Kwahiyo?!?
no research no right to speak!Wala sijatoka na mtu mkuu, wala sijawahi kutongoza mwanamke huku, wewe angalia tu nyuzi hapa jf, comments na jinsi wanavyoexpress experiences zao. Lengo ni kusaidiana mkuu, sina nia mbaya.
Mkuu pamoja na kumshirikisha Mungu si imeandikwa omba, bisha hodi na tafuta nafikiri kutoa tangazo ni sehemu mojawapo ambayo Mungu pengine anaweza kuitumia hebu fikiria unaomba halafu hujichanganyi maeneo yanayoweza kuleta majibu ya ombi lako si itakua kazi kufikia lengo. Hebu chukua mfano unamuomba Mungu akupe kazi halafu unafunga wee haupeleki RESUME yako mahala wala huwaambii watu hitaji lako itawezekana kweli kulifikia lengo.Binafsi ktk hili ninaona kwamba haya yote yanayotokea ni kwa sababu ya maendeleo ya science na technologia si unajua utandawazi ndugu yangu , zamani hata kuongea kwa njia hii ya JF na namna zingine ilikua hakuna lkan sasa hivi watu wanafurahi/gombana kupitia mitandao hata kama hawafahamiani kwa sura ,hivyo tukubali kua kuna mabadiliko makubwa ktk jamii. Sikupingi mkuu bali ni ktk hali ya kuchambua zaidi mada.
Sawa mkuu basi ngoja nireserve comment zangu mpaka hapo utakapo weka utafiti wako kamili maana nina mengi ya kuchangia.Mkuu nimefanya kwa wanawake tu, wanaume baadaye.