Donpela
JF-Expert Member
- Jun 30, 2011
- 2,040
- 592
Habari wakuu
Leo asubuhi nimeamka kuwasha PC baada ya mda ika freeze ikaleta kinote cha blue kenye maandishi!!
Sikuweza kusoma yote haraka maana ilizima gafla!! Yalisema
"A problem has been detected and Windows
has been shut down to prevent damage to
your computer" etc
Baada ya apo ikazima
Nikajalibu kuiwasha inawaka naisikia fan ! Lakini haidisplay chochote!!
Tatizo laweza kuwa nini??