Msaada wa haraka kurudisha mafile

kancarl

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Posts
1,365
Reaction score
837
Plz naomben msaada namna ya kurestore mafile yaliyo potea kwenye hii extenal harddisk
 
Kama unapesa unaweza kununua software ya 7data recover au recovery software yoyote coz uwazina recover free 1gb zaidi ya hapo unatakiwa ununue full software in uenjoy full package
 
Umeshafanikiwa ?
Kama Bado fuata mtiririko huu unaweza kukusaidia kama files zako ziko hidden, hii ni kwa window 10 users.
1. Hold window key and E button
2.Click view
3.click options
4.select change folder and search options
5.Click View
6.Go to Hidden files and folders then unchecked dont show hidden files and check show hidden files
7. Pia uncheck hizo option zote nne(Hide options) zinazofuata hapo chini.
8.Baada ya hapo rudi kwenye drive letter yako ingia utakuta kuna drive iko kama inaactive fungua utakuta data zako.
Cheers
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…