Baba Rhobi
JF-Expert Member
- Nov 4, 2020
- 1,842
- 3,372
Simu inakuwa detected na pc?Wakuu habari zenu, jumapili ya tar 5/12/21 nkifanya process ya unlock bootloader ya kimeo changu redmi 8a, nlipambana sana mpaka kuja kufikia hatua ya kupewa muda wa kusubiri baada ya masaa 69, tatizo likatokea kesho yake windows kwenye PC ikazingua ikabidi nipige upya hapo ndo msala uka anza jana muda wa ku unlock ulifika nka log in vizuri kwenye MI UNLOCK TOOL, ila simu ikawa haiwi detected nkapiga drivers zote ninazo zijua lakini wapi, drivers nliweka MINIMAL ADB DRIVERS, SDK PLATFORM TOOL, sasa FASTBOOT drivers sijui ndo msala make kila nikigoogle fastboot drivers nakutana na ADB drivers, aliwai kufanya hii kitu please msaada wake tafadhali.
Chief-Mkwawa.
Kilangi masanja
kcamp
ndio mkuu, vizuri tu,Simu inakuwa detected na pc?
Xiaomi hawana official software?
sawa mkuu ngoja ni download hiyo toolKwa hitirafu au kushindikana kwa kwa njia yeyote piga picha post hapa tuione tupte ufumbuzi zaidi
hyo yote tayari msala uko hapa, baada ya kuingia kwenye hiyo tool juzi nilipewa muda wa kusubiri, kabla ya masaa 69 kuisha nilipiga windows pc yangu, sasa nilipo ingia kwenye mi unlock tool, simu haiwi recognized ndo msala ulipo.Install mi flash tool,kisha nenda ka unlock bootloader yako kwa mi unlock tool
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Kama haiwi recognised itakua ni drivers ,kama divers zipo make sure Microsoft redist packages zipohyo yote tayari msala uko hapa, baada ya kuingia kwenye hiyo tool juzi nilipewa muda wa kusubiri, kabla ya masaa 69 kuisha nilipiga windows pc yangu, sasa nilipo ingia kwenye mi unlock tool, simu haiwi recognized ndo msala ulipo.
hapo kwenye redist ntagoogle, nirecommendie drivers za kuweka make nimeweka hadi nimechoka, nimeupdate hadi pcKama haiwi recognised itakua ni drivers ,kama divers zipo make sure Microsoft redist packages zipo
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Ili ziongeze utamu wa kutumia aiseeWhy mnapenda sana kuchokonoa Simu?
Jaribu mi unlock tool V2 basihapo kwenye redist ntagoogle, nirecommendie drivers za kuweka make nimeweka hadi nimechoka, nimeupdate hadi pc
shukrani sana mkuu, the job is done.Jaribu mi unlock tool V2 basi
XiaoMiTool V2 - Modding of Xiaomi devices made easy for everyone
XiaoMiTool V2 is a easy to use tool to install rom on your Xiaomi device. Modding made easy for everyone! Download it for free now!www.xiaomitool.com
Utachagua beta ya kwanza kabisa hapo juu...toa ilokuwepo weka hyo v2 kisha jarbu ku unlock tena
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app