CHARLZ MMOJA
Member
- Nov 11, 2012
- 5
- 0
kuna kipindi nilishawahi kusikia kuwa ukimpata mtu anayefanya kazi kwenye mitandao ya simu aliyepo kwenye kitengo ku-operate sim unaweza ukapewa sms zote ambazo mtu anawasiliana na mtu mwingine yan unachotakiwa kufanya ni kumpa huyo namba ya simu ya mtu wa kwanza (mke wako) na ya namba ya sim ya mtu wa pili (mshukiwa) kisha jamaa anaenda kwenye system yao kisha ata-print message zote ambazo hawa watu wamewahi kutumiana, yan kuanzia siku ya kwanza mpaka siku ya mwisho. mwenye uwezo ani-inbox namba yake.