MAKOLE JF-Expert Member Joined Feb 5, 2012 Posts 618 Reaction score 280 May 19, 2014 #1 Rafiki amenitumia Apple Ipad ila haina option ya kuingiza vocha kwenye laini ya simu, namaanisha SIM APPLICATION. Msaada tafadhali.
Rafiki amenitumia Apple Ipad ila haina option ya kuingiza vocha kwenye laini ya simu, namaanisha SIM APPLICATION. Msaada tafadhali.
meeku89 Senior Member Joined Apr 21, 2013 Posts 113 Reaction score 19 May 20, 2014 #2 Mpaka ujailbreak bro au toa iyo line weka kwenye simu unaunga bundle zen unairudisha
MAKOLE JF-Expert Member Joined Feb 5, 2012 Posts 618 Reaction score 280 May 20, 2014 Thread starter #3 meeku89 said: Mpaka ujailbreak bro au toa iyo line weka kwenye simu unaunga bundle zen unairudisha Click to expand... I appreciate ndugu. ila hapo kwenye nyekundu kamtihani hako
meeku89 said: Mpaka ujailbreak bro au toa iyo line weka kwenye simu unaunga bundle zen unairudisha Click to expand... I appreciate ndugu. ila hapo kwenye nyekundu kamtihani hako