Elementi Member Joined Apr 9, 2019 Posts 60 Reaction score 157 Oct 11, 2019 #1 PC yangu ilikua nzima kabisa ...ila kuna mambo madogo madogo hayakuwa poa,nikashauliwa niipige Window... Kwenye kupuga window naona mambo kama yameharibika zaidi Yaani inagoma... Wenye kujua haya mambo naombeni mniambie shida itakuwa ni nini hapa
PC yangu ilikua nzima kabisa ...ila kuna mambo madogo madogo hayakuwa poa,nikashauliwa niipige Window... Kwenye kupuga window naona mambo kama yameharibika zaidi Yaani inagoma... Wenye kujua haya mambo naombeni mniambie shida itakuwa ni nini hapa
Acehood JF-Expert Member Joined Oct 1, 2018 Posts 1,668 Reaction score 2,852 Oct 11, 2019 #2 Ngoja waje
the great wizard JF-Expert Member Joined Dec 21, 2015 Posts 1,482 Reaction score 894 Oct 11, 2019 #3 Elementi Tafuta mtu mwenye DVD ya windows then fanya installation au tafuta flash akuwekee bootable. Ni simple sana hiyo
Elementi Tafuta mtu mwenye DVD ya windows then fanya installation au tafuta flash akuwekee bootable. Ni simple sana hiyo
Elementi Member Joined Apr 9, 2019 Posts 60 Reaction score 157 Oct 12, 2019 Thread starter #4 the great wizard said: Elementi Tafuta mtu mwenye DVD ya windows then fanya installation au tafuta flash akuwekee bootable. Ni simple sana hiyo Click to expand... Shukrani mkuu
the great wizard said: Elementi Tafuta mtu mwenye DVD ya windows then fanya installation au tafuta flash akuwekee bootable. Ni simple sana hiyo Click to expand... Shukrani mkuu
NkumbiSon JF-Expert Member Joined Sep 22, 2013 Posts 2,526 Reaction score 3,563 Oct 12, 2019 #5 Kwa nyongeza tuu. Kuna uwezekano cd unayotumia, mlango wakusomea cd, kama ni flash imecorrupt au mafile hayajakamilika. Pili kama umedowngrade kutoka window ya juu kujaya chini hasa kama ni win8 au win10 kwenda win7, kuna baadhi ya setting za kufanya b4 installation. so ongeza nyama tusaidiane. Je unatumia nini kati ya cd flash na internet kufanya installation? U abadirisha win kutoka ipi kwenda ipi? Elementi said: Shukrani mkuu Click to expand...
Kwa nyongeza tuu. Kuna uwezekano cd unayotumia, mlango wakusomea cd, kama ni flash imecorrupt au mafile hayajakamilika. Pili kama umedowngrade kutoka window ya juu kujaya chini hasa kama ni win8 au win10 kwenda win7, kuna baadhi ya setting za kufanya b4 installation. so ongeza nyama tusaidiane. Je unatumia nini kati ya cd flash na internet kufanya installation? U abadirisha win kutoka ipi kwenda ipi? Elementi said: Shukrani mkuu Click to expand...
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 166,200 Reaction score 184,931 Oct 12, 2019 #7 Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: mahondaw
Elementi Member Joined Apr 9, 2019 Posts 60 Reaction score 157 Oct 23, 2019 Thread starter #8 Ema steve said: Ishapona? Click to expand... Imepona mkuu
Emmaro JF-Expert Member Joined Aug 29, 2018 Posts 455 Reaction score 701 Oct 23, 2019 #9 Elementi said: Imepona mkuu Click to expand... ok safi
Zero Hours JF-Expert Member Joined Apr 1, 2011 Posts 12,942 Reaction score 18,691 Oct 23, 2019 #10 Hii nishida inayotokana na kutumia modified windows. Installation disk ulyotumiia ndyo inashida. Inawezekna kuna vitu iliruka katika installation.
Hii nishida inayotokana na kutumia modified windows. Installation disk ulyotumiia ndyo inashida. Inawezekna kuna vitu iliruka katika installation.