Nimekutana na tv ya philips14" picha ya tv hiyo hapo tatizo lake ukiwasha taa ya standbuy inawaka ikitaka ku switch tu ina zima na taa ya standbuy ina waka na kuzima na speker utasikia inafanya pu pu. Kwa wale mafundi wezangu wa tv endapo mtu analijua tatizo hilo anisaidie nashukuru