Msaada wa haki ya mnunuzi

VENTURECACHER

Member
Oct 24, 2011
36
7
Wakuu habari zenu naombaa msadaa kuhusu jambo hili, nimenunuaa simu dukani kwa mfanya biashara tecno cx mpya nimetumiaa mda usiopungua wki mbili na nusu ikaharibika speaker kubwa ya sauti nikairudisha dukani nilipo nunuliaa na wakanielekezaa nipeleke wakala wa tecno hapa morogoro nilipopeleka simu ikakaaa wiki mbili nikarudishiwaa inafanya kazi vizuri, nimetumia baada ya wiki tatizo limerudi pale pale.nashindwa nifanyaje maana nimepotezaa hela nyingi kwenye simu hii.naombeni ushauri wenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio bado ipo lakini inakuwaje umetoaa hela kamili na umenunua kitu kipya kinatengenezwaa mara ya kwanza na kinaharibika tena wakti bado simu mpya

Sent using Jamii Forums mobile app
warudishie..guarantee mwaka..simu haijafikisha hata wiki..wamekuuzia korokoro.
safari hii uwe mkali..waambie kabisa simu mloniuzia mbovu siwez gharamika tena.wakupe hela yako..
 
warudishie..guarantee mwaka..simu haijafikisha hata wiki..wamekuuzia korokoro.
safari hii uwe mkali..waambie kabisa simu mloniuzia mbovu siwez gharamika tena.wakupe hela yako..
unadhani wanaweza kumrudishia hela yake??
 
Back
Top Bottom