Wakuu naombeni msaada wa Gynecologist mzuri Dar hasa aliyepo hospitali ya taifa Muhimbili au TMJ Hospital nina kijana wangu wa kike ana shida au unaweza kunipa contact za daktari mzuri unayemjua Muhimbili.
Kwa namna ya pekee mwenye contact za madaktari hawa anisaidie.
Kimoja Kati ya hivyo au vyote viwili. Nimeandika hivyo nikiamini kwamba ninaweza kuwa ninafikiria hawa madaktari nilioelekezwa na mtu mmoja lakini kuna wengine ambao ni wazuri zaidi pia
Domaradzka,
Ukimtaka Dr Hilda nenda pale Rabininsia hospital Tegeta huwa ana clinics zake pale ukionana nae utapata muda mrefu kuongea nae, anakuwa na time na relaxed sana akiwa pale
Domaradzka,
Ukimtaka Dr Hilda nenda pale Rabininsia hospital Tegeta huwa ana clinics zake pale ukionana nae utapata muda mrefu kuongea nae, anakuwa na time na relaxed sana akiwa pale