Domaradzka
Senior Member
- Apr 19, 2016
- 135
- 168
Wakuu naombeni msaada wa Gynecologist mzuri Dar hasa aliyepo hospitali ya taifa Muhimbili au TMJ Hospital nina kijana wangu wa kike ana shida au unaweza kunipa contact za daktari mzuri unayemjua Muhimbili.
Kwa namna ya pekee mwenye contact za madaktari hawa anisaidie.
Dr.HILDA TMJ HOSPITAL
Dr. ANGELA THOMAS Muhimbili
Kwa namna ya pekee mwenye contact za madaktari hawa anisaidie.
Dr.HILDA TMJ HOSPITAL
Dr. ANGELA THOMAS Muhimbili