Msaada wa Gynecologist mzuri

Domaradzka

Senior Member
Apr 19, 2016
135
168
Wakuu naombeni msaada wa Gynecologist mzuri Dar hasa aliyepo hospitali ya taifa Muhimbili au TMJ Hospital nina kijana wangu wa kike ana shida au unaweza kunipa contact za daktari mzuri unayemjua Muhimbili.

Kwa namna ya pekee mwenye contact za madaktari hawa anisaidie.

Dr.HILDA TMJ HOSPITAL
Dr. ANGELA THOMAS Muhimbili
 
Unataka contacts za hawa Ma dokta uliowaandika hapa mkuu au unataka msaada wa Gyna kama ulivyouliza kwenye kichwa cha habari
 
Unataka contacts za hawa Ma dokta uliowaandika hapa mkuu au unataka msaada wa Gyna kama ulivyouliza kwenye kichwa cha habari
Kimoja Kati ya hivyo au vyote viwili. Nimeandika hivyo nikiamini kwamba ninaweza kuwa ninafikiria hawa madaktari nilioelekezwa na mtu mmoja lakini kuna wengine ambao ni wazuri zaidi pia
 
Domaradzka,
Ukimtaka Dr Hilda nenda pale Rabininsia hospital Tegeta huwa ana clinics zake pale ukionana nae utapata muda mrefu kuongea nae, anakuwa na time na relaxed sana akiwa pale
 
Back
Top Bottom