Msaada wa ghafla, wajuzi wa Kingroot

uduzungwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2016
Posts
552
Reaction score
544
Wana ndugu salama,

Naomba msaada wa hii kitu. Ni kwamba nimereset simu yangu from factor setting. Baada ya kumaliza resseting nikakuta kuna kishort cut ka king root.
Hapo nafanye nacho. Afu imekuja hii notification.

Cheki hii picha hapo chini.

Simu yangu ni Huawei Y530.

 
Umeishapewa warning kama hiyo unasubiri nini.. Piga chini.. Denjarasi hiyo
 
uninstall tu jaribu kutafuta version nyingine
 
Si kwamba hiyo app ina virus, tusipende kukurupuka, hiyo warning umeisoma ukaielewa? Na hiyo app unajua kazi yake?
Kuna msemo unasema kama umekubali kuolewa, lazima ulale bila chu.pi
Hiyo app kama unajua kazi yake basi piga don't warn me again. Kisha endelea na shughuli zako.
DONE.
 
Iondoe tu haina kazi yoyote ilikwemo hiyo app kwaajili ya process ya ku root hiyo simu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…