Ndugu
Capt Tamar
Recuva ni program itumikayo katika windows pc, huwezi itumia katika simu.
Waweza kupata baadhi ya data zako iwapo tu kwenye simu ya awali uli_login katika account yako ya gmail, na uliweka ON auto. Sync. ya data zako.
Au kama ulikuwa ukitumia software kama dropbox au drive ili kuhifadhi data zako.