Msaada wa fabrication

Alemechs

Member
Joined
Sep 10, 2021
Posts
10
Reaction score
11
Wakuu za habarini za sahizi, naishi mkoani mbeya, nilikuwa na naomba msaada niweze kupata sehemu wanapofanyia fabrication ya vifaa mbali mbali vinavyohitaji plastic molding na kuhusisha mfumo mzima wa electronics wenye sensors an microcontrollers, so naombeni msaada wa mahala wanapofanyia hzo shughuli kwa mkoani Mbeya amahata mikoa jiran na Mbeya.
 
kwa Mbeya sijui, ila kwa Dar nenda DIT, wana 3D printers ( US made ) nzuri kwa rapid prototyping

unaweza watumia enclosure design, wakai 3D print wakakutumia Mbeya, au pia kama huna design, unawapa specs wana zi sketch up


kwa molding hasa, kuna kiwanda kipo Kibaha ( sina info zake kivile )
 
Shukrani kiongozi ntafanyia kazi hili swala
 
Ninayo 3D printer nicheki PM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…