Msaada wa extenal

Msaada wa extenal

The-unknown

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
1,636
Reaction score
1,863
Wadau nina external ya 500GB naweza kuitumia kwenye deck kuchk video
 
Inawezekana chukua external pachika usb kwenye deki ila hizo videos ziwe nje ya mafile mana deki zingine hazisomi mafile
 
Back
Top Bottom