Msaada wa English Medium notes from Standard 1-7

SECRET AGENT

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2019
Posts
254
Reaction score
499
Hi Wana JF,

Naombeni msaada wa kupata softcopy notes za English Medium kwa standard 1-7 kwa masomo yote kwa mwenyenazo tunaweza kuchangiana Kias flani ili nizipate.

Asanten Sana
 
Hi Wana JF,

Naombeni msaada wa kupata softcopy notes za English Medium kwa standard 1-7 kwa masomo yote kwa mwenyenazo tunaweza kuchangiana Kias flani ili nizipate.

Asanten Sana
Tengeneza nenda tet/tie bure kbsa. Soma materials then fanya unachotaka. Utasubiri sn vya kuomba
 
Hi Wana JF,

Naombeni msaada wa kupata softcopy notes za English Medium kwa standard 1-7 kwa masomo yote kwa mwenyenazo tunaweza kuchangiana Kias flani ili nizipate.

Asanten Sana
Mkuu binafsi huwa naandaa na kuuza study materials pia na kwa upande wa notes za primary English medium new syllabus ambazo zipo tayari ni

1. Science and technology std 3
2. Social studies std 3
3. Science and technology std 4
4. Social studies std 4
5. Civic and moral std 5
6. Science and technology std 5
7. Social studies std 5
8. Vocational skills std 6
9. Science and technology std 6
10. Sciences and technology std 7
11. Social studies std 7
12. Civic and moral std 7.

Zote hizo ambazo zipo tayari ntakufanyia kwa bei ya 85,000

Tuwasiliane PM kama utakuwa tayari kuzichukua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…