Msaada wa drivers za camera ya laptop dell inspiron

Msaada wa drivers za camera ya laptop dell inspiron

MWAKIGOBE

Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
65
Reaction score
3
Toka nime instal windows 7 kwenye computer yangu naona webcome haifanyi kazi., nimejaribu ku download lakini bado tatizo lipo pale pale......... Naomba msaada wakuu.
 
Very badly mtafute fundi wa computer/it akupe ushauri tatizo lako ni la kawaida sana ila lina solution...
 
Toka nime instal windows 7 kwenye computer yangu naona webcome haifanyi kazi., nimejaribu ku download lakini bado tatizo lipo pale pale......... Naomba msaada wakuu.

Mkuu model gani ya Laptop yako?
 
Mkuu hizo drivers zitakuumiza kichwa tu,mi niliangaika sana nikaamua kutumia webcam software...

Download hii inaitwa manycam inapiga kazi vizuri na inafeatures nyingi tu!.....
 
Back
Top Bottom