baba mausingizi
Senior Member
- Jun 15, 2016
- 189
- 120
Niingie tu kwenye mada nasumbuliwa na vidude vinaota kwenye ngozi nimeenda hospital wanasema zinaitwa warts sijui kama sijakosea na kilikuwa kimoja kwa sasa vinafika kumi na mbili, dokta alisema vinatakiwa vichomwe.
Je, hakuna njia nyengine mbadala? Msaada mwenye kujua.
Je, hakuna njia nyengine mbadala? Msaada mwenye kujua.
