Msaada wa dawa ya kipele hiki

Mrembo Maya ungeishusha camera chini kidogo ili tuone yaliyomo yamo?
 
Bila picha ungeonaje hiyo ingrown hair?
Ungemsaidiaje huu ushauri wako mzuri wa hiyo nywele?
 
Watu bwana! Mnaishi duniani au Mars? Uchafu uko wapi hapo dada wa watu msafi tu na hizo zivu ziko katika hali nzuri.

Kikubwa msaidieni changamoto yake, wake zenu wako kama Beyonce au Gigi Hadidi? 😝
 
Dah baada ya picha nimeishiwa nguvu basi tu siyo kwa ubaya lakini!
 
paka dawa ya meno...siku mbili tu kinapotea bila kutumbua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…