Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,395
- 5,549
Unanyolea wembe gani? Una muda hujanyoa.... Hiyo chupi ndo zile kama chandarua?Samahani kwa usumbufu napata kipele ukeni mwanzo kilianza Kama jipu nikawanalitumbua linatoka usaha lakn saiv umekuwa hivi je hii ni shida ganiView attachment 2682232
asilimia kubwa wanayapenda na yakiwagusa gusa inakua burudani kabisa...Na wengine tunayapenda.
Unamwita mwanamke shoga yako tena?Sema shogare papa chafu, uwe unalifanyia waxing hata ya kienyeji
Samahani kwa usumbufu napata kipele ukeni mwanzo kilianza Kama jipu nikawanalitumbua linatoka usaha lakn saiv umekuwa hivi je hii ni shida ganiView attachment 2682232
duh, mikono imekomaa utafikiri mwanaume, wewe ni mkulima? ndio unaonyesha watu vuzi lako wakati icho ni kiupele tu kimetokana na kuvimba kwa ndani baada ya kunyoa, huo unaovilia ndani ni unywele unaota kwa ndani. siku ingine acha kujiuza mtandaoni kwa kuonyesha sehemu za siri. ungetoa description tu mbuzi wewe.Samahani kwa usumbufu napata kipele ukeni mwanzo kilianza Kama jipu nikawanalitumbua linatoka usaha lakn saiv umekuwa hivi je hii ni shida ganiView attachment 2682232
Kama huwezi kutoa msaada, kaa pembeni kuliko kuwakejeli watu. Mkono hauna changamoto yeyote. Hukuwa na haja ya kuukosoa, mkono wenyewe ni soft tu.duh, mikono imekomaa utafikiri mwanaume, wewe ni mkulima? ndio unaonyesha watu vuzi lako wakati icho ni kiupele tu kimetokana na kuvimba kwa ndani baada ya kunyoa, huo unaovilia ndani ni unywele unaota kwa ndani. siku ingine acha kujiuza mtandaoni kwa kuonyesha sehemu za siri. ungetoa description tu mbuzi wewe.
vipi mjomba haujaelewa au aupige front view
Hakuna vuzi..la kawaida kabisa. Basi tu watu kujidai.Watu wanalalamika vuzi mbona sijaliona maana hata butu hapo huwezi suka
Kama huwezi kutoa msaada, kaa pembeni kuliko kuwakejeli watu. Mkono hauna changamoto yeyote. Hukuwa na haja ya kuukosoa, mkono wenyewe ni soft tu.
Tuache kejeli na bullying..
Anywe bila bugudha. Haina shida.Dr kuna rafikiangu yangu kauza mechi amekunywa P2 sasa ana kiu ya mvinyo……vipi haitamletea madhara
Nitumie picha zaidi PM nikupe tiba yakeSamahani kwa usumbufu napata kipele ukeni mwanzo kilianza Kama jipu nikawanalitumbua linatoka usaha lakn saiv umekuwa hivi je hii ni shida ganiView attachment 2682232
Jaribu kwanza ushauri uliopewa hapo juu, na kama ukienda hospital da... basi umkute doctor mwanamke, mana tatizo lako dogo hilo.Nashauri uende Kituo chochote cha Afya kilichopo karibu nawe.. Utapata msaada sahihi... ila Mimi naona ni Kipele cha kawaida tu.. its not a Wart/ other STDI symptoms...
Anywe bila bugudha. Haina shida.
Ila sasa mvinyo utampandishia midadi, na pengine hamu zitampanda. Atauza tena mechi.
Asante sanaKwanza, pole sana kwa changamoto hiyo.
Unachopaswa kufanya, ikamue usaha utoke. Kisha ukichunguza vizuri kuna unywele umeoteana pale panapotoa usaha.
Uvute huo unywele, hakikisha kabisa umetoka. Kisha kamua tena. Kutavimba kidogo lakini kesho yake panakuwa vema. Then relax, kazi imeisha. Unaweza kuamua kunyoa sehemu zako kwa ratiba yako mwenyewe.
Achana na hao wanaokukejeli kwamba una vuzi jingi. Ni vuzi la kawaida kabisa. Isitoshe ungenyoa ndiyo uje basi uwezo wa kuvuta huo unywele ulioteana usingekuwa nao.