Msaada wa dawa ya kipele hiki

Samahani kwa usumbufu napata kipele ukeni mwanzo kilianza Kama jipu nikawanalitumbua linatoka usaha lakn saiv umekuwa hivi je hii ni shida ganiView attachment 2682232
Inaweza kuwa ni jipu na linarudi sababu kiini unakuwa haujakitoa. Au inaweza kuwa ni ingrown hair sababu ya kunyoa na uwembe ambayo imekuwa infected.
 
Samahani kwa usumbufu napata kipele ukeni mwanzo kilianza Kama jipu nikawanalitumbua linatoka usaha lakn saiv umekuwa hivi je hii ni shida ganiView attachment 2682232
Nashauri uende Kituo chochote cha Afya kilichopo karibu nawe.. Utapata msaada sahihi... ila Mimi naona ni Kipele cha kawaida tu.. its not a Wart/ other STDI symptoms...
 
Mi nahisi ni kawaida , hutokea ukinyoa huko

Nyie mnaokazania anyoe mavuzi badala ya ushauri mnashangaza!!! et mchafu kwahiyo pawe na kipara?? Fuga vuzi asikutishe mtu yanakazi yake hayo ..
wanataka kila siku uwe unaparura mavuzi ndo mana vinatoka vijipu
 
Na wengine tunayapenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…