Msaada wa dawa ya asili ya kutibu mapafu

ABBYA

Senior Member
Joined
Mar 22, 2016
Posts
169
Reaction score
122
Habari za jioni wakuu, kama kichwa kinavyosema hapo juu, nina ndugu yangu Ana shida kwenye mapafu, uwezo wake wa kuvuta hewa ni mdogo naomba msaada kwa yeyote mwenye kujua, kwa sasa anatumia mpira! Asanteni
 
Ameambiwa anayo maradhi gani yanayo msumbuwa mpaka anatumia mpira?
 
Alipata TB kama miaka 3 iliyopita, akatibiwa akapona, badae akaenda kucheck wakasema kuna chembe chembe za mchanga kwenye mapafu, miezi miwili sasa ndio akaanza kuumwa wiki iliyopita aka wa anashindwa kuvuta hewa vizuri anakohoa sana, baada ya mpira kikohozi kimekata
 
kwa hiyo dawa waliyo mpa hospitali ni kutumia mpira wa kuvuta hewa? hakuna dawa ingine ya kusafisha huo mchanga kifuani?
 
Daaa we jamaa kila kitu unatibu
Kwa mujibu wa Kiongozi wetu wa Dini ya Kiislam Mtume Muhammad Rehema za Mungu ziwe juu yake pamoja na amani. Ametufundisha hivi Kila maradhi hayakosi kuwa na dawa yake. Ila Uzee na kifo ndio hauna dawa. Kwa imani hiyo aliyesema kiongozi Wetu wa dini nina imani Kwa Asilimia 1000%1000 ninaweza kutibu maradhi yote na kila maradhi yana dawa yake. Na katika kitabu cha Biblia kimesema hivi jinsi ya kujitibu sisi Binadamu Mungu anasema katika Biblia:::

Biblia EZEKIEL 47:12
Kando ya ukingo wa mto, upande huu na ule, kutakua na kila aina ya miti inayotumika kwa chakula;
majani hayatanyauka, na matunda yake hayatakoma. Yatazaa matunda kila mwezi,
kwa sababu maji yao hutiririka kutoka patakatifu. Matunda yao yatakuwa chakula, na majani yatakuwa dawa.

Sasa kwanini nisijuwe dawa za kutibu kila maradhi? Wakati Mungu ameshatufundisha kutibu kwa kila maradhi kwa kutumia majani na mizizi? Kazi kwako Mkuu.
 
Sasa kwanini nisijuwe dawa za kutibu kila maradhi? Wakati Mungu ameshatufundisha kutibu kw akila maradhi kwakutumia majani na mizizi? Kazi kwako Mkuu.
Hongera kwa kutibu ukimwi, hepatitis B, ovarian cancer, Covid-19, na Pulimonary edema
 
Yote hayo nimesha watibu wagonjwa na wamepona kabisa.

Dr. Sebi speaks on there being only one disease​

Dr Sebi Tells How He Cures A.I.D.S

Attachments

  • MUCUS IS CAUSE OF ALL DISEASE.mp4
    2.1 MB
Kwa mujibu wa Kiongozi wetu wa Dini ya Kiislam Mtume Muhammad Rehema za Mungu ziwe juu yake pamoja na amani. Ametufundisha hivi Kila maradhi hayakosi kuwa na dawa yake. Ila Uzee na kifo ndio hauna dawa. Kwa imani hiyo aliyesema kiongozi Wetu wa dini nina imani Kwa Asilimia 1000%1000 ninaweza kutibu maradhi yote na kila maradhi yana dawa yake. Na katika kitabu cha Biblia kimesema hivi jinsi ya kujitibu sisi Binadamu Mungu anasema katika Biblia:::

Biblia EZEKIEL 47:12
Kando ya ukingo wa mto, upande huu na ule, kutakua na kila aina ya miti inayotumika kwa chakula;
majani hayatanyauka, na matunda yake hayatakoma. Yatazaa matunda kila mwezi,
kwa sababu maji yao hutiririka kutoka patakatifu. Matunda yao yatakuwa chakula, na majani yatakuwa dawa.

Sasa kwanini nisijuwe dawa za kutibu kila maradhi? Wakati Mungu ameshatufundisha kutibu kwa kila maradhi kwa kutumia majani na mizizi? Kazi kwako Mkuu.
Dr nahis maumivu kwenye ubavu wa kushoto hasa wakat wa barid na nikiwa nafanya kazi nzito nitmie dawa gani
 
Back
Top Bottom