Mrao keryo
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,217
- 2,840
😅😅😅Huo ni uti wa mgongo umetoka, hakuna dawa hospitalini mitishamba ndio hutibu shida hiyo. Ma mkubwa ana shida hiyo na anaelekea kupona.
Asante mkuuPole ,nenda hospital kwa uchunguzi zaidi.
Huenda una Rectal Prolapse au Hemorrhoids🤔
Sawa mkuu,Mkuu pole , hiko kikate hospital then tumia mitishamba
Punguza uzito
Usikae muda mrefu
Kula vyakula laini
Fanya mazoezi ya kegel,
Kwahiyo ni Bawasiri?.Pole ,nenda hospital kwa uchunguzi zaidi.
Huenda una Rectal Prolapse au Hemorrhoids🤔
Huo ni uti wa mgongo umetoka, hakuna dawa hospitalini mitishamba ndio hutibu shida hiyo. Ma mkubwa ana shida hiyo na anaelekea kupona.
Akipata vipimo itajulikana kama ni nyenyewe au rectal prolapse mkuuKwahiyo ni Bawasiri?.
Huwa inasababishwa na nini?
Uti wa mgongo unachomokaga bwashee 😅Kaka acha kupotosha vitu hauna uhakika navyo...
Wakuu wa JamiiForums natumai hamjambo wote humu!kama kuna mwenye changamoto kama mimi basi Mungu ampe uponyaji.Amina! Kwa miezi ya karibuni nimekuwa nikisumbuliwa na kinyama kinashuka kutoka njia ya haja kubwa hata sijui ni ugonjwa gani?wakati kama nimesimama muda merefu au kutembea kwa muda ndo kinashuka hadi kufikia kukirudisha kwa mkono.Tafadhali sana kwa anaejua dawa ya kumaliza tatizo hili anjulshe!Asanten sana!
Umejuaje ni Bawasiri na sio rectal prolapse?Upo wp mikutajie mmea tibada?(iyo ni bawasili na tiba ni yamitishamba)
Kwa maelekezo yake hiyo Rectal prolapse , ila aka coferm hospital ya serikali aanze matibabuAkipata vipimo itajulikana kama ni nyenyewe au rectal prolapse mkuu
Nimehisi hata mimi ni rectal prolapse ila akienda hospital atapata uhakika mzuriKwa maelekezo yake hiyo Rectal prolapse , ila aka coferm hospital ya serikali aanze matibabu
Nipo Kilimanjaro mkuu,msaada tafadhaliUpo wp mikutajie mmea tibada?(iyo ni bawasili na tiba ni yamitishamba)