wakuu naombeni msaada wa data recover nzuri .
kwa yeyote mwenye link au jina la aina ya data recover nzuri anijuze maana nimetafuta online kila nikidownload napata zinazo weza kurecover mb kadhaa tuu na sio GB.
au kama kuna mdau anayo anaweza nifanyia mambo kunitumia hata link nitashukuru sana