Mkuu jana kuna mambo yaliingiliana nikashindwa malizia Sasa baada ya kufungua cmd au command ni lazima ujue disk letter yako unayotaka kuibadilishia format kama ni drive C, D, E etc let take example tunataka kubadili drive D, nitaandika hiviii kwenye cmd yangu D: /FS: NTFS kisha bonya enter...