Msaada wa course kwa certificate & diploma

Faqboy

Member
Joined
Sep 10, 2018
Posts
40
Reaction score
7
Habari jf,napenda kuuliza ni course zipi ngazi ya certificate & diploma anaweza soma mtu mwenye matokeo ya kdato4 2018 kama HISTORY D,LANGUAGE C,KISWAHILI C,BIOLOGY D,MATHEMATICS F,CHEMISTRY F,GEOGRAPHY F,CIVICS D Ahsanteh
 
Community Development, hakuna zaidi ya hiyo.
 
Jibu sahihi ingia NACTE mtandaoni tafuta ADMISSIONS na hapo pata Admission Guidebooks za 2019 na zipitie kwa umakini. Kwa C2 na D3 hutakosa program inayokufaa.
 
Umepata F zote hzo ulikua unafanya nn shuleni?au ulichanganya shule na mapenzi?pumbavu kabisa
 
Jibu sahihi ingia NACTE mtandaoni tafuta ADMISSIONS na hapo pata Admission Guidebooks za 2019 na zipitie kwa umakini. Kwa C2 na D3 hutakosa program inayokufaa.
Kwa C3 na D3 anaweza jiunga na diploma
 
Jibu sahihi ingia NACTE mtandaoni tafuta ADMISSIONS na hapo pata Admission Guidebooks za 2019 na zipitie kwa umakini. Kwa C2 na D3 hutakosa program inayokufaa.
Ahsanteh sana
 
Write your reply...bisness administration, laws. community health. community development
 
Back
Top Bottom