mkuu pale Mwenge karibu na GHOROFA LA NAKIETE PHARMACY kuna kighorofa kingine kwa mbele yake kama unaelekea bamaga kimeandikwa WATSACCOS hapo hapo kuna mafundi Laptop balaaa aisee