kimesajiliwa kuna dem wangu anasoma hapoHabari wadau naomba kuuliza anaejua chuo cha nursing chimala kama kinesajiliwa ama lah! AMA Naweza nikatumia njia gani kujua chuo kimesajiliwa ama lahmsaada wa haraka jamn
Ingia www.nacte. go. tz utaona sehemu wameandika registered institutionsHabari wadau naomba kuuliza anaejua chuo cha nursing chimala kama kinesajiliwa ama lah! AMA Naweza nikatumia njia gani kujua chuo kimesajiliwa ama lahmsaada wa haraka jamn