MEDICAL LAB, ukae ukijua hii programme haipo vyuo vingi vya GVT, vingi ni Private, mbaya zaidi hujaspecify unataka upande upi, Anyway hata iwe GVT Ada ni zaidi ya 1M utake usitake,
Jaribu DECCA kipo Dodoma mjini Ada yake naamini haizidi anagalau ni nafuu kidogo >1.5M