Willy mayor JF-Expert Member Joined Feb 24, 2015 Posts 346 Reaction score 44 Sep 16, 2015 #1 Wakuu msaada tafathal kwa anaejua chuo/vyuo vya clinical officer idara ya private vyene ada isiyo zidi MILIONI 2 .Msaada wenu unaitajika wakuu coz nataka kuxoma mwaka huu!! Ahsanteni WAKUU
Wakuu msaada tafathal kwa anaejua chuo/vyuo vya clinical officer idara ya private vyene ada isiyo zidi MILIONI 2 .Msaada wenu unaitajika wakuu coz nataka kuxoma mwaka huu!! Ahsanteni WAKUU
ISLETS JF-Expert Member Joined Dec 29, 2012 Posts 8,116 Reaction score 5,370 Sep 16, 2015 #2 mkuu mbona ni kama umechelewa...? lakini chuo kwa hiyo ada ninakifahamu cha St.Bakhita, kipo Nkansi kupita sumbawanga... ni cha wakatoliki na kuna hosteli na chakula mnapewa.
mkuu mbona ni kama umechelewa...? lakini chuo kwa hiyo ada ninakifahamu cha St.Bakhita, kipo Nkansi kupita sumbawanga... ni cha wakatoliki na kuna hosteli na chakula mnapewa.