Msaada wa channel za Clouds radio FM

Msaada wa channel za Clouds radio FM

hakisoni

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
476
Reaction score
100
Jamani naombeni msaada wa channel au masafa ya hii radio kwa hapa Arusha. Naona wamebadili hii channel tuliyoizoea.
 
You guys,are you serious?
Mkuu hebu kesho asubuhi angalia clouds tv 360 yaani Mpaka wanakera, siku hizi watu tumeacha kuwaangalia kwa mfano Hassan Ngoma utadhani ni katibu mwenezi wa ccm kwenye clouds tv
 
Mkuu hebu kesho asubuhi angalia clouds tv 360 yaani Mpaka wanakera, siku hizi watu tumeacha kuwaangalia kwa mfano Hassan Ngoma utadhani ni katibu mwenezi wa ccm kwenye clouds tv
Ubunifu kwenye vipindi vya tv ni mdogo sana. Labda anajaribu kumpendezesha ambaye huwa anawapigia simu.
 
Clouds wamebadili frequency ni 88.7 lakin inaboa coz inaingiliana na radio nyingine wahusika rekebisheni tatizo fasta
 
Back
Top Bottom