Jamani, ubuntu ni open source,ni bure kabisa...kuuza ni dhambi! Braza hapo juu,download bure kabisa online then tengeneza cd zako wala sio ngumu,kama hufahamu ingia utube ucheki tutorials za jinsi ya kutengeneza ukishindwa nistue,siko bongo ila ningekutengenezea bure,na wala usikubali kuuziwa...by the way kuna 11.10 sasa na nimeinstall juzi tu.