M mbwai Member Joined Nov 28, 2011 Posts 18 Reaction score 0 Jun 6, 2012 #1 Nisaidie jinsi ya kuweka silide show ya picha kwenye blog yangu.
ndetichia JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,585 Jun 6, 2012 #2 mbwai said: Nisaidie jinsi ya kuweka silide show ya picha kwenye blog yangu. Click to expand... hiyo slide ni kama banner au unataka picha zi slide kama urembo? kuhusu banner ingia hapa bannersnacks.com
mbwai said: Nisaidie jinsi ya kuweka silide show ya picha kwenye blog yangu. Click to expand... hiyo slide ni kama banner au unataka picha zi slide kama urembo? kuhusu banner ingia hapa bannersnacks.com
tindikalikali JF-Expert Member Joined Jan 14, 2011 Posts 4,854 Reaction score 1,139 Jun 7, 2012 #3 ndetichia said: hiyo slide ni kama banner au unataka picha zi slide kama urembo? kuhusu banner ingia hapa bannersnacks.com Click to expand... mkuu nataka kutengeneza blog...niende site gani nzuri?
ndetichia said: hiyo slide ni kama banner au unataka picha zi slide kama urembo? kuhusu banner ingia hapa bannersnacks.com Click to expand... mkuu nataka kutengeneza blog...niende site gani nzuri?
M mbwai Member Joined Nov 28, 2011 Posts 18 Reaction score 0 Jun 7, 2012 Thread starter #4 kama urembo
D Dotowangu JF-Expert Member Joined Nov 14, 2011 Posts 242 Reaction score 77 Jun 7, 2012 #5 www.blogspot.com au worldpress kama sijakosea..hiyo kwanza lazi uwe na gmail acount