abari wana teknolojia wa JF, nimewahi kusikia kuwa blackberry unaweza kutumia Internet na kifurushi cha kawaida bila kujiunga huduma za blackberry, je hii ni kweli? Kama ni kweli naomba msaada namna ya ku configure ili niweze kutumia internet kwa vifurushi vya kawaida kama. Mini kabang na xtreme. Kama hilo haliwezekani hii BB 9900 naweza kuiuza kwa bei gani?
NimekupM tufanye iyo biashara
Mkuu kama kipo kipo tu,usiforce kupata mshiko kwa njia kama hii ts ridiculous
We kitendo cha kumwambia a set APN name,unataka biz,
Hehehe !! Lakn lazima alipie ili aweze kupata hiyo bbm
ha ha ha bbm lazima atoboe mfuko,i think the guy is after whatsapp,viber n kind
Vipi kwa WhatsApp itakubali?
Nemebadilisha APN lakini wapi imegoma.