Msaada wa bima ya NHIF Kupima macho

Turbo man

Member
Joined
Jul 25, 2021
Posts
8
Reaction score
4
Habari ndugu zangu. Natumaini wote ni wazima. Mimi ni mwanachuo Nilikuwa naomba kujuzwa kama kwa bima yangu hii ya NHIF(50400/=) naweza kuitumia kufanya vipimo vya macho kwenye hospitali kama vile CCBRT na zingine? Msaada wenu maana nasumbuliwa na macho hasa kwenye mwanga mkali.
 
Kupima macho ni bure, ishu ni matibabu!
 
Vipi mkuu na kuchukua frame mpya pamoja na kuweka vioo kwenye miwani kwa bima wanapokea hawa CCBRT?
Kama hauna miwani nitafute nikufanyie kwa bei ya kiwandani, kikubwa uwe na karatasi yako ya vipimo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…