Msaada wa battery ya simu

Msaada wa battery ya simu

Gozaka

Member
Joined
Aug 29, 2012
Posts
68
Reaction score
43
Wakuu habar , Mimi Nina simu niliagizaga nje , sasa hii simu imekufa battery now , na battery zake ni zile non removable ... Ukiangalia gharama ya kuagiza battery ni expensive kuliko kununua simu mpya . Nimezunguk kariakoo sana nmekosa battery yake . Kuna mtu akanshauri nkachonge battery , asa hapo ndo uwelewa ukaniishia , hiv inawezekan izi non removable battery zikachongwa ? Na battery haitokua na madhara kwa simu ,? Then kama inawezekan ntawapata wapi awa wachongaji ? Asanten sana wakuu
 
mkuu weka model number ya simu tuweze kujadiri hili na wana jukwaa.bettery hua sio tatizo kinachoangaliwa hapo ni volt connector ebu tuma model.ata ya laptop nione tunaamsha mkuu .sms 0622100690
 
Attachments

  • Screenshot_20200112-164113.png
    Screenshot_20200112-164113.png
    16.6 KB · Views: 11
hiyo battery inashida gani hapo ilipo kwanza
 
Back
Top Bottom