Habari wana jamvi...
Naomba kuuliza kama kuna yeyote anayejua apps ya android inayoweza ku convert maneno yaliyo kwenye picha kuja kwenye words..
Mfano labda " una gazeti au jarida sasa unataka sasa ukapiga picha hili jarida au gazeti sasa unataka ucopy words " or uchukue words then unaweza kuyafanyiaa editing kama kupunguza na kuongeza yako....
Isiwe kama oicha tena.. yawe kama maneno...
nimejaribu hii mojaa ( cam scanner app) bt haifanyi kazi vile nataka...
kuna yeyote anayejuaa msaada wana jamvi....