F Fino da Final Member Joined Jun 3, 2013 Posts 66 Reaction score 30 Dec 6, 2016 #1 Wana jamii forum naomba msaada wa app nzuri ya kuroot simu yangu pamoja na hatua za kufuata. Simu ni samsung galaxy s3
Wana jamii forum naomba msaada wa app nzuri ya kuroot simu yangu pamoja na hatua za kufuata. Simu ni samsung galaxy s3
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,263 Reaction score 44,392 Dec 6, 2016 #2 tumia odin na cf root ya chainfire, na kama unataka kutafuniwa mkuu mambo yanayofuatia baada ya root unaweza tu uka corrupt simu yako
tumia odin na cf root ya chainfire, na kama unataka kutafuniwa mkuu mambo yanayofuatia baada ya root unaweza tu uka corrupt simu yako
F Fino da Final Member Joined Jun 3, 2013 Posts 66 Reaction score 30 Dec 7, 2016 Thread starter #3 Chief-Mkwawa said: tumia odin na cf root ya chainfire, na kama unataka kutafuniwa mkuu mambo yanayofuatia baada ya root unaweza tu uka corrupt simu yako Click to expand... Sante mkuu
Chief-Mkwawa said: tumia odin na cf root ya chainfire, na kama unataka kutafuniwa mkuu mambo yanayofuatia baada ya root unaweza tu uka corrupt simu yako Click to expand... Sante mkuu