Msaada wa android app ya kutengeneza Ringtone

Msaada wa android app ya kutengeneza Ringtone

bona

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2009
Posts
3,798
Reaction score
1,444
kwenye android nimepata app moja inaitwa MP3 music download ambayo unaweza kudownload music wowote nikawa nataka kutengeneza rightone i.e kukata mziki nichukue kipande ninanchokitaka nikitumie kama ringtone au notification

Nikapata app moja inaitwa MP3 cutter... its cool unaweza kata nk ila shida ile kipande ulichokikata hakitoi sound nimechek kwenye google possible sloution nimejaribu nimeshindwa

Je kuna yoyote anajua app mbadala ambayo kwake inaweza kata music na hakisumbui icho kipande ulichokikata!!
 
Ringtone maker nadhani nilikuwa nayo, Ni nzuri
 
Back
Top Bottom