Watu ni wachokozi hatar
😁😁😁😁 Basi mwenye connection amtaftie aisee naijua taabu aanayopitia tatizo jingine sekta binafsi ya mashule bado ipo damaged sana , mashule mengi mikopo tuu walimu hawalipwi unaishia kupewa posho 150000 kwa mwezi , na allowance ya tsh 20000 ukishika zamu za wikiAnahitaji msaada na sio maswali. Mambo ya umri huku Africa achana nayo tu maana kuna viumbe huwa wanaishi umri mmoja kwa miaka miwili hadi mitatu na tunaishi nao huku mtaani vizuri tu.
Jibu unalolihoji hili hapa mkuuMkuu umejoin JF mwaka 2012 daah ulikuwa na miaka mingap , mana enzi hzo ni wachache sana waliokuwa aware na JF, leo hii unadai una miaka 26 mbona kama unatushika