Shit happen sidhani kama ni ushauri mzuriArudi kwa huyo mwanaume wake kwa kuwa hakubakwa aliamua kuachia papuchi basi atamuelea tu
Kuna dada anaomba kupata nafasi ya kazi anabachelor ya Accounts IFM,kiukweli huyu dada nimefikia kumuombea sababu ya story yake namie sitoweza kunsaidia kila siku pesa yakujikimu na mwanae.
Mwanaume alimpa mimba akiwa mwaka wa mwisho lakini alijitahidi akamaliza chuo badae mwanaume alimkataa mtoto.
Waungwana tunaomba msaada wakumsaidia ajira ajikimu.
Natumaini mtamsaidia kuweza kuondokana na changamoto zinazomkabili.
Anawazo lolote la biashara ambalo anaweza akalifanya na mwanamke mwenzake hapo mjini Dar es salaam na akawa partner kwa hio biashara? Hilo ndio naweza kumsaidia binafsiKuna dada anaomba kupata nafasi ya kazi anabachelor ya Accounts IFM,kiukweli huyu dada nimefikia kumuombea sababu ya story yake namie sitoweza kunsaidia kila siku pesa yakujikimu na mwanae.
Mwanaume alimpa mimba akiwa mwaka wa mwisho lakini alijitahidi akamaliza chuo badae mwanaume alimkataa mtoto.
Waungwana tunaomba msaada wakumsaidia ajira ajikimu.
Natumaini mtamsaidia kuweza kuondokana na changamoto zinazomkabili.
Hana wazazi wote anaishi na aunt zake nazani tunajua dhahama yake unaweza ukasaidiwa ila chamoto unakionaSo hana wazazi??au imekuwaje kuwaje npkaa unamsaidiaaa??
Hana wazo la biashara ila anaweza akasimamia biashara according to her.Anawazo lolote la biashara ambalo anaweza akalifanya na mwanamke mwenzake hapo mjini Dar es salaam na akawa partner kwa hio biashara? Hilo ndio naweza kumsaidia binafsi
Okay all the bestHana wazo la biashara ila anaweza akasimamia biashara according to her.
Asante sana kaka naweza nikakuunganisha nae umsikilize yeye binafsi unajua watu kama hawa wanahitaji msaada wapo wanaamini katika kuajiriwa tu.Okay all the best
Ntaku PmAsante sana kaka naweza nikakuunganisha nae umsikilize yeye binafsi unajua watu kama hawa wanahitaji msaada wapo wanaamini katika kuajiriwa tu.
Ntaku Pm
Angalia PM mdauNoted thanks
Tuma picha
ThanksMwambie afikirie kuwa freelancer.
She can work on side hustle wakati anaendelea kutafuta hiyo ajira ya kudumu.
Kwasababu yupo home anaweza fanya kazi kama
• Social media manager
• Data, entry
• Content Marketing
• Copy writing
• Facebook Ad
Hizi ni skills hazitumii muda kujifunza. You can master them within a week or two.
Kama anaujuzi na anadhani anaweza kufanya kazi online kama freelancer anaweza angalia hii Freelancing platform ya Kiswahili KaziYako Tanzania | Freelancers Online
Bado mpya kwahiyo she can take advantage wakati watu wengine hawafahamu
Pia anaweza jifunza zaidi kupitia hapa Best way to make money online ni kuuza ujuzi wako. Do you know why? Pitia hapa ufahamu ni kwa jinsi gani - JamiiForums
Aisee mwanamke huwa hathamini msaada hasa unapotelewa na mwanaume. Ukimsaidia huona kama ni haki yake kusaidiwa na mwanaume. Ila si wote kwamba wako hivyo.
Hawa viumbe nikusaidia nakuachana nao.ni waajabu sana