Usifanye mchezo mkuu. Hiyo katika stage fulani ya maisha ilikuwa ni zawadi kubwa sana. Usiipime kwa ngazi yako sasa. Usikute hapo anakuwa ni yeye peke yake mwenye nayo. Na kwa hiyo, hicho kinakuwa si kitendo cha aibu (kama tunavyotafsiri sisi) bali ni cha kujivunia kabisa. Tumetoka mbali sana.😀