Iamrenatha
Member
- Sep 21, 2016
- 7
- 0
Asante ila sijajua wapi naweza kuzipatapole sana ila mimi nakushauri kama ukipata contract za Mh Mbowe hilo swala lako anaweza timiza ndoto yako.
swissme
Naku-pm namba za mtu ambaye nahs ataweza kukusaidia..Mimi ni mwanafunzi wa chuo cha iringa university nasoma diploma ya procuremnt and material management mwaka wa kwanza na mwezi wa kumi naingia mwaka wapili lakini nimeshindwa kupata ada ya kumalizia masomo yangu ya diploma nilikua naomba msaada kwa mtu yoyote anayeweza nisaidia baba yangu amefariki dunia na nipo na mama yangu ila kwa sasa nimgonjwa na ameshndwa kunisaidia kwa sasa sababu ya ugonjwa. naomba yoyote anayeweza nisaidia pia kuona matokeo yangu ni msichana wa miaka 21 kwa sasa namba zangu ni 0687497541
Sawa nimezipata asante sana ubarikiweNaku-pm namba za mtu ambaye nahs ataweza kukusaidia..
KaribuSawa nimezipata asante sana ubarikiwe
Kwa sasa nipo moshipole sana mkuu,kwani kwa sasa unapatikana wapi?
Contract za mbowe[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]pole sana ila mimi nakushauri kama ukipata contract za Mh Mbowe hilo swala lako anaweza timiza ndoto yako.
swissme
Kuwa makin na walaghai tu (mana naona ushataja na jinsi kuwa ni ke).. ila mungu atakusaidia..Mimi ni mwanafunzi wa chuo cha iringa university nasoma diploma ya procuremnt and material management mwaka wa kwanza na mwezi wa kumi naingia mwaka wapili lakini nimeshindwa kupata ada ya kumalizia masomo yangu ya diploma nilikua naomba msaada kwa mtu yoyote anayeweza nisaidia baba yangu amefariki dunia na nipo na mama yangu ila kwa sasa nimgonjwa na ameshndwa kunisaidia kwa sasa sababu ya ugonjwa. naomba yoyote anayeweza nisaidia pia kuona matokeo yangu ni msichana wa miaka 21 kwa sasa namba zangu ni 0687497541
Sawa asanteKuwa makin na walaghai tu (mana naona ushataja na jinsi kuwa ni ke).. ila mungu atakusaidia..
AsantePole sana mungu atakufanyia njia