Ndug wana jamvi kuna mtu anatafuta chuo cha IT kwa Dar,,anataka asome had Diploma ijapokua amepata zero form 4 je afanyeje au ni vyuo vip anaweza kwenda na kutimiza lengo lake? Ushaur kwake pls,

Kusafisha hiyo zero, aanzie kwa kusoma kozi za basic computer application ktk vyuo vinavyo tambulika ili apate certificate, baada ya hapo aombe kujiunga na certificate ya IT ktk vyuo vya UCC ambavyo ni vitengo vya UDSM

Kwa hapa dar, kina branch tatu, chuo kikuu dar, Posta mpya jengo la Benjamin mkapa km nakumbuka vizur km sio, itakuwa jengo linalofuata, na maeneo mbezi barara ya tegeta, sifaham kituo jarob kuulizia, ni vyuo maarufu
Nashauri arudie huo mtihani ili ingalau awe tu na cheti bila kujali sana ufaulu.
Hapo ndiyo mwanzo mzuri wa kusonga huko anakotaka kwenda.
Hapa nchini form 4 qualification inaangaliwa kupita maelezo, hana namna arudie tu aondokane na zero.
sema ww ndo una zero, form 4 chet huna alaf unataka kwenda college il ukmalza uende kuomba kazi na cheti cha shule ya msingi na diploma duuuuuhhh umetisha