mwenyewe joseph
Senior Member
- Nov 1, 2016
- 104
- 25
Hawezi kupata serikalini kwa matokeo hayoKwann hukuomba vyuo vya serikali..?
Kwa sababu ya E ya Math au kuna reason nyngine mkuu..?Hawezi kupata serikalini kwa matokeo hayo
Nmeomba serikalin sema naweka altenative man cuunajuaHawezi kupata serikalini kwa matokeo hayo
Hebu tuma na yako tuyaoneHawezi kupata serikalini kwa matokeo hayo
Sababu sio hiyo ila kuna waliokosa nafasi serikalini ambao walikuwa na matokeo zaidi ya hayoKwa sababu ya E ya Math au kuna reason nyngine mkuu..?
Mi hayo mambo ya kusoma nimeshasahau pia MKUU nalima mahindi sasa matokeo yangu hayatasaidia kitu ila nime comment kutokana na watu ambao walikosa ninao wafahamu
But usikariri mkuu.. Tatizo la serikalini vyuo vichache na vinachukuwa idadi chache ya wanafunzi..Sababu sio hiyo ila kuna waliokosa nafasi serikalini ambao walikuwa na matokeo zaidi ya hayo
Mkuu ujuaji mwingi hausaidii hata unauhakika gani hawezi pata kwani wewe msemaji wa nacte???Mi hayo mambo ya kusoma nimeshasahau pia MKUU nalima mahindi sasa matokeo yangu hayatasaidia kitu ila nime comment kutokana na watu ambao walikosa ninao wafahamu
Sawa wakubwa yaishe comment yangu haiwezi badilisha kitu chochote kwa jamaa ni maoni yangu tu basiMkuu ujuaji mwingi hausaidii hata unauhakika gani hawezi pata kwani wewe msemaji wa nacte???
Mkiambiwa ukweli mnakasirika wewe ulitaka comment za kukufarijiMkuu ujuaji mwingi hausaidii hata unauhakika gani hawezi pata kwani wewe msemaji wa nacte???
Kuna tatizo gani ukasoma chuo ambacho kimesajiliwa na nacte huku akija approved na balaza LA famasi kwa kozi za pharmacy,,mfano wa chuo hicho ni st.joseph university college of health science msaada mkuuvyuo vyote vya diploma na certificate si lazma visajiliwe nacte
pitia guide book yao hhpo chini
nacte guide book 2017/18
Sasa kama unajua dhahiri kwamba hiki chuo kina walakini kwann usiende chuo kingine ambacho kimekidhi vigezo vyote..?Kuna tatizo gani ukasoma chuo ambacho kimesajiliwa na nacte huku akija approved na balaza LA famasi kwa kozi za pharmacy,,mfano wa chuo hicho ni st.joseph university college of health science msaada mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app